Monday, 6 June 2016

PICHA 2: Ajali aliyoipata wakala wa staa wa Man United na mpenzi wake kufariki


Jumatatu ya June 6 2016 hii imekuwa sio siku nzuri kwa mashabiki wa soka, baada ya taarifa za wakala wa kiungo wa Man United Adnan Januzaj kupata ajali akiwa na mpenzi wake, wakala Dirk De Vriese mwenye umri wa miaka 57 amepata ajali akiwa na mpenzi Elien Van Ryckeghem wakiwa kwenye gari.
21e08142-2b3b-11e6-a418-63ddb19cd14b_web_scale_0.4545454_0.4545454__
Taarifa zilizotolewa na 101greatgoals.com wakala huyo amepata ajali kwa Ubelgiji, baada ya gari yake aina ya kugongana na gari aina ya Volvo, wakala huyo amepata majeraha lakini mpenzi wake Elien Van Ryckeghem amefariki. Dirk De Vriese alikuwa mchezaji wa zamani wa vilabu vya Gent na Anderlecht.

No comments:

Post a Comment