Monday, 6 June 2016

VideoMPYA: Abdukiba anatualika kuitazama hii mpya inaitwa ‘Bayoyo’


TV zinaendelea kupata video mpya za bongofleva ambapo leo 6 June 2016 ni zamu ya AbduKiba na single yenyewe inaitwa ‘bayoyo‘ na video yenyewe imefanywa na Director Hanscana.

No comments:

Post a Comment