Friday, 15 January 2016

NEW: LINEX – KWA HELA’ (MUSIC AUDIO)

Image result for linex linenga

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatokea Kigoma, Tanzania maarufu kama “Linex” aliyetamba 2015 na wimbo wa ‘Salma’ambao kwa sasa umefikia rekodi ya kufikisha viewers Milioni 1.1 kwenye Youtube Chanell, ameachia wimbo mpya ambao unaitwa ‘Kwa Hela’ ni Audio. Take your time to enjoy with us here then stay on in our website coz bado tunaendelea kukujuza zaidi.


No comments:

Post a Comment