Ni
kitu muhimu sana katika maisha ya uhusiano kwani zinatia chachu na
kumfanya mwenza wako ajihisi ni wa pekee katika kichwa chako,kwamba
unampenda,unamkumbuka na unamjari sana. hizi
ziguatazo ni sms mbalimbali ambazo unaweza kumtumia mwenza wako
asubuhi,mchana au usiku na hata kama umemkosea zipo sms ambazo zinaweza
kukuwakilisha wewe kwa mpenzi wako
namshukuru ALLAH kwa kuamka salama ,ni jambo la kumshukuru nawe kwa kuona siku nyingine,sauti za tawala masikioni mwangu,na
ni furaha yangu kusikia u hali gani
.........................
ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika
ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa
wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho
usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyoijua.g9t
......................
naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu ili
kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi.nakupenda sana laazizi
........................
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
.......................
lala ulale vyema na upoe moyo wako,lala ulale salama utulie roho yako,lala usingizi mwema upumzishe akili yako,akujalie
karima zitimie njozi zako.usiku mwema
..............
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lkn yanatonesha,wala si maradhi lkn yanaumiza, wala si njaa lkn yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa unaempenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni maradhi=unifanye doct ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe maishani mwako na uwe asal moyoni mwangu
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nimetuma ndege wangu auzunguke ''moyo'' wako kwa '' upendo '' auguse ''uso'' wako kwa ''faraja'' na mwisho akunong'oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
rafiki mtamu ni kama mto,ukichoka unalala juu yake akihuzunika unadondosha chozi juu yake,ukifurahi unamkumbatia mungu akulnde na kukujibu haja zako daima.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
warid jeusi kwa adui pink kwa rafiki maalum,njano kwa kila lakheri ,jeupe kwa amani jekundu kwa mapenzi je?wewe utanipa lipi?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenz n utoto,deka ulie nitakubembeleza,mpz n zawad tabasamu nibusu niambie kias gan unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako lmezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jna lako halwez kufutka.nakupenda sn
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
mapenz n utoto,deka ulie nitakubembeleza,mpz n zawad tabasamu nibusu niambie kias gan unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako lmezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jna lako halwez kufutka.nakupenda sn
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
teke la kuku halimuumz mwanaye sawa na dhat ya mpz haiumz moyo wa ampendaye,2gombane ss hv 2patane bdaye,najua hakuna wacogombana ,kama wapo cku wakgombana wataachana.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharan nimeagzwa na manan yakurdhshayo nafsin n utamu wa yakin.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nakupenda sana mpz wangu ,we ndo wa pekee mwnye kujua furaha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo krb nami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangu tabb ,we ndo wang wa manan.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhtaj uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbato lako,nkpnd mpz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nash2miwa kwa kumpenda mcchana mmoja alyeutesa moyo wangu ,mahakama imenihukumu kfo kwa kunyongwa na kamba ya upendo kwa msamaha wa raisi mpz nmehukumiwa kuwa mwaminfu kwake nakumpenda sn pnd acpontenda.
...
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenhukumu kufungwa kweny gereza la moyo wa mcchana huyo milele kwa kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja,asiye na mashauz ,mwny wng upendo,maneno matamu,mahaba ya dhat na mapenz moto moto.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Dunia ime2lia jua lmezama ndege kwenye mit wame2lia ,wa2 wote wamelala lkn mm bdo namuomba mungu awa2me malaika kwenye ktanda chako wakulnde.g9t
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mwanzo nldhan pnz,ni ki2 cha gharama kumbe cvyo pnz n k2 cha bure ,unatakiwa kujtoa mwl na roho.gharama yke n zaid ya kununua dunia na mateso yke n zaid ya shetan moton mpz naomb unpe pnz 2,furaha sn kuku2mia sms hii
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
hakika huwa nakosa raha pindi tunapo kosana,naomba ufahamu kuwa malumbambano yetu ni furaha kwa wabaya wetu,nimekumiss ,naomba unipe nafasi nyingine nakuahidi sito umiza wako moyo
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni yangu,najcfu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na karaha za huu ulimwengu .nakupnd dr
. . . × × × . . .
. Hivi ni lini utanipa nipate farijika mpenzi nimechoka na hadithi kila siku unazonipa ipo siku penzi utanipa, mwenzio nataabika na hamu iliyotukuka, nitafurahi ukinipa nipate liwazika, naomba uhakika kama kweli wikiendi utanipa, Nakupenda •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
. Mahaba unayonipa hakika nafarijika, mpenzi niliyemtaka hakika nimekupata, kiu yangu wajua kuikata, kuwa nawe hakika nimeukata kwani wajua kunipa bata! Luv u, mwaah
....................................
. Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda??
.................................
. Hivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi, nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto yangu ya mapenzi.
...............................
. Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!!
...................................
. Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!!
No comments:
Post a Comment