Kikosi cha wachezaji 23 wa timu ya taifa ya
England kimewasili
Paris Ufaransa mchana wa leo June 6 2016 kwa ajili ya michuano ya
Euro 2016,
England imeondoka
Luton asubuhi na kuwasili
Paris Airport-Le Bourget mchana wa leo June 6 2016,
England itacheza mchezo wake wa ufunguzi wa
Euro 2016 Jumamosi dhidi ya
Urusi.
No comments:
Post a Comment