Tuesday, 17 May 2016

Pele asema kama yeye ni mfalme basi Messi ni Prince.


Mpaka sasa dunia imekuwa ikiwaita wachezaji hawa wafalme kwenye soka, Pele, Diego Maradona na Lionel Messi. Hivi karibuni mbrazili Pele amesema yeye tu ndio mfalme na kwamba kama yeyeni mfalme basi Messi ni mtoto wa kiume wa mfalme ambaye ni Prince.
Pele kaongea na La Vanguardia nakusema ” if he was ‘the king’ of soccer, then Messi should be ‘the prince.’
Over the last 15 years, Messi is the prince,I’m not saying he is the king because my parents closed the factory and broke the mold … There is only one king.”
Pele pia amesema mchezaji wa Real Madrid legend Alfredo Di Stefano ndio mchezaji wa Argentine aliyekamilika zaidi akifuatiwa na Diego Maradona na Messi.

No comments:

Post a Comment