Tuesday, 17 May 2016

Kanye West na Kim Kardashian washinda tuzo za Webby.


Kanye West na mke wake Kim K wameshinda tuzo za 20 za Webby zilizofanyika mjini New York City jumatatu hii.  Kanye na mke wake Kim Kardashian.
Kanye ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka  huku akitoa Speech fupi zaidi kwenye maisha yake ya maneno matano tu “I can’t stand short speeches,” .
Kim Kardashian ameshinda tuzo ya Break the Internet Award amabayo ilitengeenzwa kwa watu kama yeye wanaofanya vitu kama kuweka picha za utupu kwenye mitandao na kuongelewa zaidi.

No comments:

Post a Comment