Tuesday, 17 May 2016

Kutoka Mitandaoni,Idris Sultan kaandika ujumbe huu mzito kwa Wema Sepetu.

FahamuTv.Com imezidi kukupa yote yanayotokea kwenye mahusiano kati ya Idris Sultan na Wema Sepetu na hivi karibuni boy friend huyu ambaye ni mshindi wa big brother Afrika amemuandikia ujumbe mrefu Wema Sepetu.
I am proud to say the mistakes we have made have not only made us stronger but better, faster, wiser, love too strong, stronger than any of us,We ni kasumbufuuu, unasusasusa, wivu ndo usiseme, kugombana hadi kulia but in the end of the day i will open my arms na utajileta mwenyewe utaniangalia usoni and tell me “I hate you” and lay on my chest. I will smile and say “I love you too”. We have gone through heaven and hell and now you’re my bestfriend, family, wifey, lover you’re my cherry . #WolfQueen.”
Hivi karibuni palikuwa na tetesi za kuachana wawili hawa kutokana na matendo ya Wema kumbusu mwigizaji mwenzake kwenye filamu mpya.

No comments:

Post a Comment