Kuelekea kwenye fainali ya UEFA Europa League leo tarehe 18 May Liverpool ya Uingereza itacheza dhidi Sevilla ya Hispania.
Pamoja na Klopp kuiwezesha timu ya majogoo wa jiji la Liverpool kutinga fainali hiyo amekuwa na rekodi mbaya ya kupoteza fainali nne (4) mfululizo za hivi karibuni.
Fainali hizo ni;
2013 UEFA Champions League: Borrusia Dortmund 1-2 Bayern Munich
2014 DFB Pokal Final: Borrusia Dortmund 0-2 Bayern Munich
2015 DFB Pokal Final: Borrusia Dortmund 1-3 Wolfsburg
2016 Capital One Cup: Liverpool 1-1 Manchester City (Penati 1-3)
2016 Europa League: Sevilla vs Liverpool?
No comments:
Post a Comment