Wednesday, 18 May 2016

KOCHA WA AZAM FC BYE BYE,ABWAGA MANYANGA SABABU HIZI HAPA.


KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo imeachana rasmi na aliyekuwa Kocha Mkuu wake, Stewart Hall, baada ya kufanyika makubaliano ya pande zote mbili.
Uongozi wa Azam FC, umechukua hatua hiyo kufuatia hivi karibuni Hall kutangaza uamuzi wa kuachia ngazi akiweka wazi kuwa amechoka kufundisha soka Tanzania na sasa anataka kwenda kutafuta changamoto nyingine mpya ya kufundisha soka nje ya nchi.

Mtendaji mkuu wa AZAM FC Saad Kawemba anena, bofya hapa...


No comments:

Post a Comment