Thursday, 17 March 2016

WAZIRI MKUU AKIENDELEA NA ZIARA KATIKA MJIJI YA CHATO NA KATORO MKOANI GEITA

CHT1

Waizri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua mtambo wa kukamu mafuta ya alzeti  wanaushishirika wa Chato akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Machi 17, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa  Ushirika huo Elias Kaswahili(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
CHT2
Wasani wa Katoro Geita wakicheza ngoma ya Kisukuma wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo  Machi 17, 2016., Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
CHT3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifurahia  wakati Wasani wa Katoro Geita wakicheza ngoma ya Kisukuma  katika ziara anayoifanya mkoani Geita wakati alipopita kijijini hapo Machi 17, 2016., Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
CHT4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara katika mji wa Katoro , Geita Machi 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
CHT5

No comments:

Post a Comment