Mastaa ni watu ambao vitu vyao vingi
wanavyovifanya huwa vinawekwa katika kumbukumbu ya kila siku, iwe na
watu wa rekodi au hata mashabiki wao, Cristiano Ronaldo ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid amewekwa kwenye rekodi hii.
Ronaldo ambaye ni miongoni mwa wanamichezo ambao kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike inawatumia kama mabalozi, March 17 Nike imemuandika kupitia 101greatgoals.com na kujivunia, kuwa Ronaldo ndio mwanamichezo wa kwanza kuvaa Nike HyperAdapt 1.0, kiatu ambacho ndio kimetoka wiki hii.
Hii ni video ya Cristiano Ronaldo akiwa na kiatu hicho
Hii pia ni video ambayo inaelezea umuhimu raba ya Nike HyperAdapt 1.0
No comments:
Post a Comment