Ciara hana aibu tena ya kuonyesha pete
yake ya uchumba aliyovalishwa na mpenzi wake Russell Wilson. Cici na
Russell wameanza kutoka toka April mwaka jana na hivi karibuni jamaa
alimvalisha pete ya uchumba Cici.
Pete hii ya Ciara inathamabi ya dola milioni mbili au mbili na nusu za Kimarekani ambazo ni kama 5470500000 za kitanzania.
No comments:
Post a Comment