Sunday, 20 March 2016
Kauli ya The Game baada ya kuonja kinywaji cha hasimu wake 50 Cent ‘Effen Vodka’.
Rapa The Game hivi karibuni alikuwa kwneye club moja huko Marekani na alipata nafasi ya kuonja kinywaji cha 50 Cent ‘Effen Vodka’ baada ya vinywaji vingine kuisha kwenye club hio. Kwenye post yake ya instagram The Game anasema “Vinywaji vimekata kwenye hii club nikanywa Effen Vodka, hii kitu ni nzuri kumbe“.
The Game pia amesema kuchagua kuangali show kati ya “Power” ya 50 Cent na “Empire” ni sawa na kuchagua kutoka na Beyoncé au Rihanna, pia The Game anasema katumia dola $27.99 kwenye mtandao wa Jay Z wa TIDAL na pia anataka collabo na Jay Z.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment