Baada ya kufanya show iliyotayarishwa na jarida la FADER rapa Drake
alikwenda moja kwa moja back stage na kutoia saini kwenye picha ya
Rihanna ya jarida FADER kava la 100 kwa kuchora alama ya mapenzi [Kopa]
ikiwa na maneno ya “OVO 6 SIDE” kitendo ambacho kimetafsiriwa kama
ishara ya mapenzi.
No comments:
Post a Comment