Star wa Real Mdrid Cristiano Ronaldo ameendelea kuthibitisha kwamba yeye ni mtu wa watu, Ronaldo ameonekana kwenye video akipata chai na mshkaji wake wa karibu halafu mashabiki wake wakataka kupiga naye picha kila mara nay eye hakuonekana kujali usumbufu huo uliojitokeza.
Japo mashabiki hao waliomba kwa ustaarabu kupata picha na Ronaldo, star huyo alikubali kupiga nao picha kabla ya kuondoka katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment