Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA manispaa
ya Iringa mjini kimeeleza kusikitishwa kwake na hatua za uongozi wa serikali
mkoani Iringa kutokana na kauli zinazotolewa na viongozi hao kuhusiana na suala
la vituo vya daladala katika manispaa ya Iringa.
Akizungumza na waandishi wa habari
mwenyekiti wa chama hicho Frank Nyalusi, amesema kuwa halmashauri haiongozwi na
amri kutoka kwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya.
No comments:
Post a Comment