Messi aing’arisha Barcelona ( ANGALIA VIDEO YA MAGOLI )
Mshambuliaji w
aklabu ya Barcelona Lionel Messi amekuwa shujaa baada ya kufunga mabao
mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol katika mchezo wa kwanza
wa hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del
Rey uliopigwa katika Uwanja wa klabu hiyo wa Nou Camp.Katika
ushindi wa mabao hayo manne wachezaji wengine walio iwezesha timu hiyo
kushinda ni Gerard Pique na Neymar Da silva, wakati bao pekee la
Espanyol likifungwa na Felipe Caicedo.
No comments:
Post a Comment