Katika mahojiano yake na East Africa radio ,Diamond amedai kuwa kwa sasa ameweka jicho lake zaidi kwenye show za kimataifa ili kutanua soko la muziki wa bongo fleva,lakini pia amedai kufanya show kila mara kuna sababisha watu wakuchoke mapema na kuahidi kuanza show za nyumbani mwezi wa tisa.
“Mimi nafikiri show huwa zina time fulani,ukiwa unafanya show mara kwa mara watu wanakuchoka.Hapa kati nimekuwa nikiwekeza ili niweze kutanua muziki wetu kwa nje,so nina prefer show za nje ili nikatengeneze soko vizuri lakini kuanzia mwezi wa tisa ndio nitaanza show nyingi za Tanzania” alifunguka Diamond.
No comments:
Post a Comment