Hii video mpya ya Chege Ft Diamond ‘Waache Waoane’ itazame hapa.
Yes its finaly here, ile video ya Chege Chigunda Ft Diamond Platnumz ambayo pia Temba ameonekana. Rekodi inaitwa Waache waoane na video imefanywa South Africa, Enjoy hii video, nipe mtazamo wako hapo chini na je ungependa kujua nini kutoka kwa Chege kuhusu hii video ?
No comments:
Post a Comment