Sunday, 26 June 2016

Rais Barack Obama kununua moja ya vilabu vya kikapu nchini Marekani.

 Rais wa Marekani Barack Obama ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye mchezo wa kikapu baada ya taarifa kutoka kwa kaimu msemaji wa ikulu ya Marekani (White House)  Josh Earnest  kudai kuwa mara baada ya kumaliza muhula wake wa mwisho kama rais wa taifa hilo kubwa duniani mwaka huu,huenda Rais Obama atawekeza kwenye mchezo huo wenye mashabiki wengi nchini humo,kwa kununua moja ya klabu zinashiriki ligi kuu ya kikapu ya Marekani NBA.
Obama on NBA 002
Obama on NBA.Ilisomeka sehemu ya taarifa kutoka Ikulu ya Marekani (White House).
OBAMA NA LE BROWN JAMES 001                                     Rais Obama na mchezaji wa klabu ya Cleveland Cavaliers Le Bron James.
OBAMA AND STEPHEN KARY 002             Rais Obama na mchezaji wa klabu ya Golden State Warriours Stephen Curry
OBAMA ON PITH 001

No comments:

Post a Comment