CHUO CHA UALIMU TANGA KINAWATANGAZIA
MAFASI ZA MASOMO MWEZI MEI YAANI MWEZI WA TANO 2016 KWA KOZI ZIFUATAZO:
( A)
Stashahada ya kozi ya ualimu wa shule za sekondari . ADA KWA MWAKA 850,000/=
( Ordinary diploma in secondary school
education )
MUDA – MIAKA MITATU ( 3 )
( B)
Stashahada ya kozi ya ualimu wa shule za msingi. ADA KWA MWAKA 850,000/=
( Ordinary diploma in primary school
education )
MUDA – MIAKA MITATU ( 3 )
( C )
Stashahada ya kozi ya ualimu wa elimu ya awali. ADA KWA MWAKA 850,000/=
( Ordinary diploma in Early child care
and education )
MUDA – MIAKA MITATU ( 3 )
( D )
Kujiendeleza stashahada kwa waalimu Daraja la III Waliopo kazini.
( E ) Basic
technician certificate in social work – mwaka mmoja
SIFA ZA KUJIUNGA NA
CHUO
(1 ) Uwe
umemaliza kidato cha IV au kufaulu kiwango cha division III au zaidi.
( 2 ) Uwe
umemaliza kidato cha IV au zaidi na kupata alama D zisizopungua nne ( 4 ).
( 3 ) Uwe
umemaliza kidato cha VI na kuwa angalau na “principal 1 na subsidiary 1”.
AU Uwe
umemaliza kidato cha IV na umesoma kozi ya mwaka mmoja yaani ( basic
Technician certificate NTA-4 ) ya fani yeyote ya masomo ya sayansi
ya jamii kama vile-
Sheria,
ustawi wa jamii, uandishi wa habari. Kozi zote zinaanza rasmi mwezi Mei, 2016
Utaratibu wa
kuomba unafanyika kupitia mfumo wa NACTE wa kudahili wanafunzi ( central
admisission system –CAS ) ama kutuma maombi chuoni.
Mawasiliano
zaidi piga . 0677- 025521, 0677- 025522, 0754- 233304, E-
mail:tangaelite@yahoo.com, mkuu wa chuo , TETCO S.L.P. 5555. TANGA TANZANIA .Kwa
wewe ambaye upo Iringa fomu zinapatikana
tupo msindo jirani na uwanja wa
samola mawasiliano zaidi ni 0764304104,
E- mail benadikikoti50@gmail.com
VITU MHIMU VYA KUWA NAVYO AU KUAMBATANISHA KWENYE MAOMBI NI .
- Passport size 2
- vyeti vyako
- cheti cha kuzaliwa
cheti cha matibabu kutoka katika hospitali ya serikali
- barua kutoka kwa mwajiri kama upo kazini
VITU MHIMU VYA KUWA NAVYO AU KUAMBATANISHA KWENYE MAOMBI NI .
- Passport size 2
- vyeti vyako
- cheti cha kuzaliwa
cheti cha matibabu kutoka katika hospitali ya serikali
- barua kutoka kwa mwajiri kama upo kazini
No comments:
Post a Comment