Monday, 21 March 2016

Wimbo mpya wa Chris Brown ‘Dead Wrong’ uko hapa.

chris-brown-chicago
Upo tayari kwa joint mpya kutoka kwa Breezy? Hapa Chris Brown anatuonjesha wimbo wake mpya “Dead Wrong” kabla hajatoa Documentary yake ya Welcome to My Life.
 
 
 

No comments:

Post a Comment