Monday, 21 March 2016

Rekodi,Album ya Rihanna yafanya maajabu tena kwenye chati za Billboard.

rihanna-puma-fenty
Wasanii nchini Marekani hupima uwezo wao kwa mauzo ya album na single zao na sasa Riri anazidi kuthibitisha kuwa yeye ni mkali.
Baada tu ya kuanza ziara yake ya “ANTI World Tour,” album mpya ya Rihanna ANTI imerudi kushika namba moja tena kwenye chati za Billboard 200 za mauzo makubwa ya album.
Rihanna pia ni namba moja kwenye chati za single za Billboard Hot 100 na wimbo wake wa “Work” ft Drake ikiwa ni wiki ya nne kwenye nafasi hio.
Billboard 200 Top 10
  1. Rihanna – ANTI – 54,000
  2. Adele – 25 – 51,000
  3. Justin Bieber – Purpose – 48,000
  4. Joey + Rory – Hymns – 44,000
  5. Kendrick Lamar – untitled unmastered. – 38,000
  6. Killswitch Engage – Incarnate – 35,000
  7. Chris Stapleton – Traveller – 34,000
  8. Twenty One Pilots – Blurryface – 33,000
  9. Kevin Gates – Islah – 30,000
  10. Flatbush Zombies – 3001: A Laced Odyssey – 28,000

No comments:

Post a Comment