Klabu 8 toka Nchi 5 Kesho Ijumaa zitatumbukizwa kwenye Chungu kimoja kwenye Droo ya kupanga Mechi za Robo Fainali ya UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI, kwenye shughuli itakayofanyika huko Nyon, Uswisi.
Droo hii iko wazi ikimaanisha Timu za Nchi moja zinaweza kukutanishwa na hivyo upo uwezekano wa, mathalani, Real Madrid na Barcelona kukutana.
++++++++++++++++++++++++
Klabu zilizofuzu kuingia Robo Fainali:
-Atlético Madrid
-Bayern München
-Barcelona
-Benfica
-Manchester City
-Paris Saint-Germain
-Real Madrid
-Wolfsburg
++++++++++++++++++++++++
Mechi za Robo Fainali zitachezwa Tarehe Aprili 5 na 6 na Marudiano ni Aprili 12 na 13.
Takwimu za Timu:
*W=Ushindi
*L=Kufungwa
*F=Magoli ya kufunga
*A=Magoli ya kufungwa
Atlético Madrid (Spain)
Robo Fainali ya mwisho: 2014/15 (Walifungwa 1-0 v Real Madrid)
Robo Fainali-Rekodi: W4 L3
Robo Fainali-Rekodi: W4 D3 L1 Magoli: F11 A3
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Antoine Griezmann 4
Barcelona (Spain, Mabingwa Watetezi)
Robo Fainali ya mwisho: 2014/15 (walishinda 5-1 v Paris)
Robo Fainali-Rekodi: W14 L3
UCL Msimu huu: W6 D2 L0 Magoli: F20 A5
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Lionel Messi/Luis Suárez 6
Bayern München (Germany)
Robo Fainali ya mwisho: 2014/15 (Walishinda 7-4 v Porto)
Robo Fainali-Rekodi: W17 L9
UCL Msimu huu: W6 D1 L1 Magoli:F25 A7
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Robert Lewandowski 8
Benfica (Portugal)
Robo Fainali ya mwisho: 2011/12 (Walifungwa 1-3 v Chelsea)
Robo Fainali-Rekodi: W8 L8
UCL Msimu huu: W5 D1 L2 Magoli:F13 A9
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Nicolás Gaitán 4
Manchester City (England)
Robo Fainali ya mwisho: Mara ya kwanza kuingia Robo Fainali
UCL Msimu huu: W5 D1 L2 Magoli: F15 A9
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Raheem Sterling 3
Paris Saint-Germain (France)
Robo Fainali ya mwisho: 2014/15 (Walifungwa 1-5 v Barcelona)
Robo Fainali-Rekodi: W1 L3
UCL Msimu huu: W6 D1 L1 Magoli: F16 A3
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Zlatan Ibrahimović 4
Real Madrid (Spain)
Robo Fainali ya mwisho: 2014/15 (Walishinda 1-0 v Atlético)
Robo Fainali-Rekodi: W26 L6
UCL Msimu huu: W7 D1 L0 Magoli: F23 A3
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Cristiano Ronaldo 13
Wolfsburg (Germany)
Robo Fainali ya mwisho: Mara ya kwanza kuingia Robo Fainali
UCL Msimu huu: W6 D0 L2 Magoli: F10 A5
UCL Msimu huu-Mfungaji Bora: Julian Draxler 3
No comments:
Post a Comment