Rapper ambaye pia ni Producer wa Track hapa nchini Tz maarufu kama Cjamoker aliyewahi ku-produce Tracks East Coast Team, ameachia video mpya wimbo unaitwa “Cjamoker” ft. wakazimusic, real_ibrah pthemc, One the incredible, zaiidyao. Watch the video hapa ukimaliza stay on in our website coz bado tunaendelea kukujuza zaidi
No comments:
Post a Comment