Watch the Brand New Video kutoka kwa msanii Nazizi wa Kenya ambaye anatembea kwenye miondoko ya Hip Hop, Reggae wimbo unaitwa “Wedding Ring” Producer: Beat ya Keggah, Video Directed by @Vjone. take your time kuitazma hapa then endelea kuwa karibu nasi coz bado tunaendelea kukujuza zaidi.
No comments:
Post a Comment