Mwanadada Gaele Enganamouit ameibuka mwanasoka bora wa kike barani Afrika 2015.
Gaele
ameshinda tuzo hiyo hivi punde katika tamasha la utoaji tuzo za
wachezaji bora kwa kuwashinda wakali wengine ambao ni Gabriele Onguene
na Ngozi Ebere wa Nigeria.
No comments:
Post a Comment