Bakary Papa Gassana wa Gambia ameibuka kuwa mwamuzi bora wa soka barani Afrika kwa mwaka 2015.
Gassana
mwenye beji ya Fifa ameibuka na ushindi huo wakati wa tuzo za Mwanasoka
Bora wa Afrika zinazoendelea mjini Abuja, Nigeria.
Gassana
amewapiku waamuzi wengine mahiri wawili aliokuwa akichuana nao ambao
ni Alioum wa Cameroon na Ghead Grisha- kutoka Misri.
No comments:
Post a Comment