Thursday, 7 January 2016

IVORY COAST TIMU BORA YA MWAKA 2015 BARANI AFRIKA, CAMEROON YABEBA UPANDE WA WANAWAKE


Ivory Coast imeteuliwa kuwa timu bora ya mwaka 2015 katika tuzo za Mwanasoka Bora Afrika zinazoendelea jijini Abuja nchini Nigeria.


Kwa upande wa wanawake, timu ya taifa ya Cameroon imeibuka kuwa timu bora Afrika.

No comments:

Post a Comment