Kimbe Alex Boniface : TAMKO KUTOKA SERIKALINI NI CHANZO CHA MGOMO WA DALADALA
Mstahiki meya wahalmashauri ya Manispaa
ya Iringa Mjini Kimbe Alex Boniface ameeleza kusikitishwa kwake na matamko
yanayotolewa na uongozi wa serikali mkoani Iringa.
Kimbe amesema kuwa matamko hayo yamesababisha
baadhi daladala kufanya mgomo na kusababisha adha kubwa kwa wananchi wanaotumia
huduma hiyo ya usafiri
No comments:
Post a Comment