Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania -RAHCO Mhandisi Benhadard Tito ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia ukiukwaji mkubwa wa taratibu za manunuzi uliobainika katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.
No comments:
Post a Comment