Mtu wangu leo August 8 2016 kuna good news kutoka Bongoflevani, GentrIez, Belle 9 na Young Dee wanatualika kwa pamoja kuitazama video mpya ya ‘Chapaa‘ ya kwake Gentriez video ambayo imeongozwa na director Hanscana kutoka Wanene Entertaiment, pia usisahau kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataziona hapa.
No comments:
Post a Comment