Jana August 18 2016 Rais Magufuli
alitengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda na kumteua
Mrisho Gambo kushika wadhifa huo. Leo August 19 Rais Magufuli
amemuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es
salaam.
No comments:
Post a Comment