Inawezekana ulimiss sauti ya mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva The Bawse kwenye
uimbaji, sasa basi leo ameachia remix ya single yake ‘Baby Boy’ ambapo
ndani ya refix hii amewashirikisha rappers watano akiwemo, Roma, Billnass, Baghdad, Mr Blue na Chemical.
Refix hiyo imetengenezwa na producer Lamar kwenye studio za Fishcrab, unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hapa
No comments:
Post a Comment