Siku mbili baada ya viongozi wa klabu ya Simba kukutana na Rais na Mkurugenzi mtendaji wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Bw. Mohammed Dewji na kujadili namna ya kuiendesha klabu hiyo kwa fumo mpya wa hisa na kuachana na mfumo wa zamani wa uanachama.
Leo August 17, klabu ya Simba imetoa makubaliano yaliyofikiwa katika kikao hicho.
Ikumbukwe Dewji aliomba kununu asilimia 51 za hisa kwa shilingi bilioni mbili za Tanzania.
No comments:
Post a Comment