Wakati
siku za kuanza msimu mpya wa ligi kuu ya soka Tanzania bara zikiendelea
kuhesabika kufuatia hitimisho la msimu jana mwishoni mwa mwezi Mei mwaka
huu na Yanga kuibuka mabingwa, ratiba ya mwanzo ya michezo ya kirafiki
ambayo kikosi cha Mbeya City Fc kitacheza kwa ajili ya matayarisho ya
2016/17 imetoka.
Kwenye
ratiba hiyo, City imepaga kucheza michezo mitatu ugenini, ambapo itaanza
kwa kushuka ‘dimbani’ Kamuzu Stadium jijini Blantyre Juni 18 kucheza na
vigogo wa soka nchini Malawi, Big Bullets.
No comments:
Post a Comment