Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (wa
kwanza kushoto), hii jana akizindua Jarida Maalumu la Taasisi ya Taaluma
za Wanyamapori Pasiansi (Pasiansi Wildlife Training Institute), iliyopo
Jijini Mwanza. Shughuli hiyo imeambatana na Uzinduzi wa Makala Maalumu
ya Miaka 50 ya taasisi hiyo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi (wa
kwanza kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Washauri ya
Taasisi ya Wanyamapori Pasiansi, Dkt.Cuthbert Nahonyo, baada ya Uzinduzi
wa Jarida Maalumu la Taasisi hiyo uliombatana pia na Uzinduzi wa Makala
Maalumu ya Miaka 50 ya Taasisi hiyo.
Mkuu wa
Taasisi ya Taaluma za Wanyamapori Pasiansi, Bi.Lowaeli Damalu,
akizungumza katika Uzinduzi wa Jarida Maalumu la Taasisi hiyo
uliombatana pia na Uzinduzi wa Makala Maalumu ya Miaka 50 ya Taasisi
hiyo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi,
akizungumza na wanahabari baada ya Uzinduzi wa Jarida Maalumu la Taasisi
hiyo uliombatana pia na Uzinduzi wa Makala Maalumu ya Miaka 50 ya
Taasisi hiyo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi,
akipokelewa katika Taasisi ya Wanyamapori Pasiansi iliyopo Jijini
Mwanza.
No comments:
Post a Comment