Rapper Young Dro aka Djuan Montreal Hart amehukumiwa kifungo
cha nje akiwa chini ya uangalizi maalum wa polisi pamoja na saa 80 za
kazi za kijamii baada ya kukutwa na hatia ya uwizi wa gari aina ya
Cadillac uliotokea mwaka 2015.
Dro
atafanya kazi hizo za kijamii mpaka kulipa pesa za gari hio aliyoiba kutoka kwa mwanamke asiyejulikana.
No comments:
Post a Comment