Watu wa
usalama katika bunge la Afrika Kusini wamewaondoa wabunge wa Upinzani wa
chama cha Economic Freedom Fighter baada ya kujaribu kuzuia Rais Jacob
Zuma asihutubie.
EFF wamesema Rais Zuma hasitahili kuhutubia bunge kutokana na maamuzi ya mahakama dhidi yake hivi karibuni, baada ya kiongozi wa EFF, Malema Julius kutolewa bungeni aliwaambia waandishi wa habari….>>>’Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye alishindwa kutekeleza, kutetea na kuilinda katiba’
No comments:
Post a Comment