Wednesday, 18 May 2016

PICHA & VIDEO: Mashabiki wameamua kuchoma moto uwanja wa timu yao, kisa ?

Mashabiki wa soka nchini Uturuki wameingia kwenye headlines baada ya maamuzi walioamua kuyafanya yamewashangaza wengi na sio ya kawaida, mashabiki wa klabu ya Eskişehirspor wameamua kuchoma uwanja wao baada ya timu yao kufungwa goli dakika ya 93, kipigo ambacho kimefanya kuwa katika nafasi ya kushuka daraja.
2
Mchezo huo uliomalizika kwa Eskişehirspor kufungwa goli 2-1, mashabiki walivamia uwanja wao na kuanza kuchoma moto, Eskişehirspor msimu ujao huenda ikashiriki Ligi daraja la pili Uturuki, kutokana na kuwa nafasi mbaya katika msimamo wa Ligi Kuu Uturuki.
1
4
5
3
1q 2q
VIDEO YA MASHABIKI WALIVYOCHOMA UWANJA WAO MOTO


No comments:

Post a Comment