Mchezaji huyo wa zamani wa Sevilla alionekana kuwa na bifu na baadhi ya wachezaji wa Uhipania, na kufanya mambo yasiyotarajiwa kwa wachezaji wenzake ikilinganishwa na lengo la mchezo huo ambao ulikuwa ni wakirafiki.
Wakati Hispania wakiwa wanaongoza magoli 2-1 wakati wa kipindi cha kwanza, Spahic alijikuta akifanya mambo ya ajabu baada ya kuwazaba makofi Azpilicueta na Cesc Fabregas, ambapo kwa upande wa Fabregas alifanyiwa hivyo baada kuja kumtetea Azpilicueta.
Baada ta tukio hilo, Spahic aliamriwa kutoka nje na mwamuzi wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment