May 24 2016 wadhamini wa Kombe la shirikisho Tanzania Azam Tv kupitia kwa Baruan Muhuza wameweka wazi maandalizi ya mchezo wa fainali sambamba na thamani ya zawadi zitakazotolewa katika mchezo wa fainali ya kati ya Yanga dhidi ya Azam FC.
Utaratibu utakaotumika kutoa zawadi ya
Kombe lenye thamani ya dola elfu 15 za Kimarekani ambazo ni zaidi ya
milioni 30 za kitanzania ni ule ambao umezoeleka, ili uchukue Kombe hilo
moja kwa moja ni lazima ufanikiwe kutwaa mara tatu mfululizo.
“Ni
Kombe ambalo limetengenezwa nje ya nchi lina thamani ya dola 15,000
hivyo thamani yake pai haijaishia kwenye Kombe pekee hata kwa zawadi
watakazopewa mchezaji bora, kipa bora na mfungaji bora zina thamani
pia”

No comments:
Post a Comment