May 24 2016 nakukutanisha na Wizara ya Maliasili na Utalii ilivyowasilisha bajeti yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Waziri Jumanne Maghembe amesema..>>>’Naomba Bunge likubali kupitisha jumla ya Sh. 135,797,787,000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017‘
‘Kati
ya fedha hizo Sh. 118,051,105,000 ni kwaajili ya matumizi ya kawaida na
Sh. 17,746,682,000 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo. Fedha za matumizi
ya kawaida zitajumuisha Sh. 59,592,676,000 za mishahara ya watumishi na
Sh. 58,458,429,000 za Matumizi mengineyo‘
No comments:
Post a Comment