Manchester United waliikaribisha Bournemouth katika dimba la Old Trafford na kushinda magoli 3-1 yaliyofungwa na Rooney, Rashford na Young huku Smalling akiwazawadia goli la kujifunga Bournemouth. Takwimu za msimu mzima za timu hiyo kutoka jiji la Manchester ni kama ifuatavyo kati ya timu 20 za ligi kuu.
Pasi za nyuma 3107- Nafasi 1
Pasi katika theluthi ya mwisho 2327-Nafasi 14
Pasi za pembeni 9718-Nafasi 3
Mashuti yaliyolenga goli 139- Nafasi 15
Nafasi zilizotengenezwa 301- Nafasi 18
Magoli 46-Nafasi ya 11
Uwiano wa kumiliki mchezo 58.23%- Nafasi 2
Mashuti 418- Nafasi ya 16
No comments:
Post a Comment