Sunday, 27 March 2016

Video mpya ya wakali Future na The Weeknd ‘Low Life’ itazame hapa.

future-GQ-2015-1215-02

Hii Video mpya ya wakali Future na The Weeknd ‘Low Life’ ikiwa ni katika kutangaza ziara yake ya “Purple Reign”.
Wimbo umetayarishwa na producer wake Future anayefahamika kama Metro Boomin na ipo kwenye album ya EVOL.

No comments:

Post a Comment