Sunday, 27 March 2016

50-cent-chris-brown

50 Cent amekamilisha collabo yake na Chris Brown ambayo ni remix ya wimbo wa “I’m the Man,” kutoka kwenye mixtape ya The Kanan Tape.
Hii sio collabo ya kwanza ya 50 na Chrs Brown, waliwahi kusikika kwneye nyimbo kama “I Bet” iliyopo kwenye album ya Chris na Tyga ya Fan of a Fan: The Album


No comments:

Post a Comment