Sunday, 27 March 2016

Hii video mpya ya Fat Joe Na Remy Ma Ft French Montana ‘All the Way Up’ Enjoy.

fat joe
 
Kutoka kwenye album yao ya pamoja iliyopewa jina Plata o Plomos, Fat Joe na Remy Ma hwametoa video ya wimbo wa “All the Way Up” waliyofanya na rapa French Monatana.
Kwenye video anaonekana mshkaji wa muda mrefu wa Fat Joe ‘DJ Khaled’

No comments:

Post a Comment