Tuesday, 22 March 2016

Lil Wayne na Birdman bado mambo si shwari.

birdman-og-waynecrop
Mtu wakaribu na rapa Lil Wayne ‘Mannie Fresh’ amesema rapa huyu na baba yake wa kufikia Birdman bado hawana mahusiano mazuri.
Mannie Fresh,Lil Wayne, Juvenile, na Birdman walifanya wimbo mmoja mwezi uliopita “Hate,”.
Mannie anasema amewashauri wamalize mambo yao chini chini kama familia na sio kwenye vyombo vya habari.

No comments:

Post a Comment