Ecuador, ambao ndio Vinara wa Kanda ya Marekani ya Kusini ya kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia za Mwaka 2018 huko Russia, wataingia dimbani tena Alhamisi kucheza Mechi yao ya 5 wakiwa Nyumbani kucheza na Paraguay.
Mechi nyingine Siku hiyo hiyo ni ile kali ya Chile na Argentina wakati Vigogo Brazil wako kwao Recife Jumamosi kuivaa Uruguay.
Kanda ya Marekani ya Kusini inazo Timu 10 na 4 za juu zitatinga moja kwa moja Fainali huko Urusi Mwaka 2018 wakati ile ya 5 itaenda Mchujo ili kufuzu ikishinda.
KOMBE LA DUNIA 2018
Marekani ya Kusini-Mechi za Mchujo
Ratiba:
**Saa za Bongo
Alhamisi Machi 24
23:00 Bolivia v Colombia
24:00 Ecuador v Paraguay
03:30 Chile v Argentina
Ijumaa Machi 25
05:15 Peru v Venezuela
Ijumaa Machi 26
03:45 Brazil v Uruguay
Jumanne Machi 29
23:30 Colombia v Ecuador
24:00 Argentina v Bolivia
24:00 Paraguay v Brazil
24:00 Venezuela v Chile
24:00 Uruguay v Peru
MSIMAMO:
No comments:
Post a Comment